Japan ina Mbwa na Paka wengi zaidi kuliko watoto Picha ya Mjapan akiwa amebeba Mbwa Unaambiwa nchini Japan ina Mbwa na paka wengi kuliko watoto walio chini ya miaka 15, kwa sasa Japan ina jumla ya mbwa na paka Milioni 15.9 na watoto wapo Milioni 13.7. Read more about Japan ina Mbwa na Paka wengi zaidi kuliko watoto