Mauaji ya wanawake duniani yaongezeka

Takwimu zilizotolewa na Umoja wa Mataifa zinaonyesha kwamba mwaka jana wanawake na wasichana elfu hamsini ulimwenguni pote waliuawa na watu wa karibu au wanafamilia familia - sawa na mtu mmoja kufa karibu kila dakika 10 (kumi).

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS