Al Ahly wapanga kuigomea Dabi ya Cairo leo Al Ahly Fc Klabu ya Al Ahly imeomba kuahirisha mechi yake dhidi ya mpinzani wake Zamalek katika Ligi Kuu ya Misri iliyopangwa kufanyika leo saa 4:30 Usiku. Read more about Al Ahly wapanga kuigomea Dabi ya Cairo leo