Vyama 15 kugombea ubunge Peramiho

Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Peramiho, Exavery Luyagaza amewateua wagombea 15 kutoka Vyama mbalimbali vya siasa nchini, kwa ajili ya kuwania Ubunge wa Jimbo la Peramiho katika uchaguzi utakaofanyika Februari 26, 2026.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS