Ijumaa , 1st Mei , 2015

Leo hii ikiwa ni maadhimisho ya siku ya wafanyakazi duniani, maarufu kama Mei Mosi wasanii wa muziki wametumia nafasi hii pia kupitia mahojiano yao na eNewz kuzungumza na wafanyakazi ili kuinua uchumi binafsi na uchumi wa taifa.

msanii wa bongofleva Ben Pol

Joh Makini kwa upande wake amewataka wafanya kazi ikiwa ndio msingi wa maendeleo na kuheshimika katika jamii na pia kutengeneza maisha bora kwa vizazi vya baadaye, huku kwa upande wa pili Ben Pol akizungumzia siku hii kwa upande wa wasanii kufikiria mbali zaidi kupanua biashara yao na kurasimisha sekta hiyo ya burudani.