Hii inakuja baada ya wawili hao kutokuwa kwenye maelewano mazuri tangu Mwalimu huyo alipokata jina la mchezaji huyo kuelekea kwenye michuano ya Euro 24 huku akisema Thibaut bado ni majeruhi ila mlinda mlango huyo alikanusha na kusema yeye ni mzima wa afya ila ameachwa sababu kocha huyo hataki awepo kwenye kikosi chake.
Mlinda mlango wa Ubelgiji Thibaut Courtois amesema ya kuwa hatorejea kuichezea timu yake ya taifa mpaka pale mkufunzi wa kikosi hicho Domenico Tedesco atakapo ondoka kwenye timu hiyo