Haliburton mwenye umri wa miaka 24 amesema nafikiria kushinda medali ya dhahabu kwenye michezo ni kitu cha kujivunia kwenye mchezo wowote pamoja na kushinda taji la NBA kwangu nahisi ni vitu vikubwa kuliko vitu vingine binafsi.
Tyrese Haliburton anayeichezea timu ya Indiana Pacers ni miongoni mwa nyota watakaoiwakilishi Marekani kwenye michuano ya kikapu sambamba na nyota kama Steph Curry,LeBron James,Joel Embid,Kevin Durant huku timu hiyo imeshinda mara 16 medali za dhahabu kwenye michezo ya Olimpiki