Picha ya Drake
“Nina kichwa changu juu, mgongo wangu umenyooka, niko imara kwa vidole vyangu vyote vya miguu. Na najua bila kujali nini, hakuna mtu mwingine yeyote duniani anayeweza kunishinda” - amesema Drake kupitia Tour yake ya It’s all a Blur Tour.
Drake amesema hivyo baada ya Kendrick Lamar kum-diss kwenye ngoma mpya ya ‘Like That’ ambayo ameshirikishwa na Future.