![](http://eatv.tv/sites/default/files/styles/detailpageimg/public/news/2023/10/31/WhatsApp Image 2023-10-31 at 8.06.45 PM.jpeg?itok=fFmsYGt-×tamp=1698772225)
Messi alisema kuwa, “Ipo siku Erling Haaland na Kylian Mbappé na wao watashinda Ballon d’Or”
“Erling alistahili hii tuzo ameshinda ubingwa wa Ligi ,UEFA lakini pia amefunga magoli mengi sana nina imani hii tuzo ipo siku itaenda kwake pia “
Baada ya Lionel Messi usiku wa jana kutwaa tuzo yake ya 8 ya Ballon d'or kama mchezaji bora wa mwaka, pia alipata nafasi ya kuwazungumzia nyota wawili ambao ni Haaland pamoja na Mbappe ambao waliishia nafasi ya pili na ya tatu katika kinyang'anyiro hicho.