![](http://eatv.tv/sites/default/files/styles/detailpageimg/public/news/2022/09/09/ZUMARIDI NA WATOTO WAKE.jpg?itok=AxxGS5_q×tamp=1662710739)
Mfalme Zumaridi akiwa na watoto wake mahakamani
Zumaridi na wafuasi wake nane wanakabiliwa na kesi ya kujeruhiwa askari polisi na kuwazuia kutekeleza majukumu yao inaendelea na ushahidi, huku kesi ya usafirishaji haramu wa binadamu inayomkabili yeye mwenyewe ikitarajiwa kutajwa tena.
Kesi hiyo nambari 10 ya mwaka 2022, ya kuwazuia askari majukumu yao inaendelea na ushahidi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi mkoa wa Mwanza.