
Mkuu wa Mkoa wa Arusha wa John Mongella
Mkuu wa Mkoa wa Manyara Makongoro Nyerere ana tumia nafasi hiyo kupenyeza neno kwa wakulima kuelekeza nguvu yakutafuta mbinu mpya za kufanya kilimo cha kisasa ili kusaidia kupata mavuno yanayotosholeza mahitaji hapa nchini.
Kwa upande wake Mkuu wa Mkoa wa Arusha wa John Mongella anabainisha mikakati ya serikali ya kuyaongezea thamani maonyesho hayo yawe na hadhi ya kimataifa kwa msimu ujao.
Baadhi ya wakulima walioshiriki maonyesho hayo wanaona ipo haja ya kuboreshwa kwa maonyesho kutokana na umuhimu wake wa kusaidia katika sekta ya kilimo hususani suala la mbegu.