Jumapili , 13th Mar , 2022

Kamanda wa Polisi Kanda maalum ya Dar es Salaam ACP Jumanne Muliro amelipongeza Jeshi la Zimamoto na Uokoaji mkoa wa Kinondoni kwa jitihada walizofanya kwenye tukio la moto katika kiwanda cha magodoro cha GSM kilichopo Mikocheni Dar es Salaam. 

Kamanda wa Polisi Kanda maalum ya Dar es Salaam ACP Jumanne Muliro

Pia Mwakilishi GSM Ezat Abdulrahman Ezat naye ameeleza madhara ya moto huo.