
Mchezaji wa Senegal akiwania mpira na Hassan Kessy
1. Edouard Mendy - Amezaliwa March 1, 1992 huko Ufaransa. Anachezea Stade de Reims iliyomaliza nafasi ya 8 kwenye Ligue 1 msimu uliopita.
2. Kalidou Koulibaly Amezaliwa June 20, 1991 nchini France - Anachezea Napoli ambayo ilimaliza ya pili kwenye Serie A msimu uliopita.
3. Salif Sané Amezaliwa August 25, 1990 Mjini Bordeaux Ufaransa. Anachezea Schalke 04 ya Ujerumani.
4. Youssouf Sabaly Amezaliwa March 5, 1993 Magharibi mwa jiji la Paris na anachezea Bordeaux ya Ligue 1.
5. Moussa Wagué Amezaliwa October 4, 1998 huko Bignona Senegal na anachezea timu ya vijana ya Barcelona.
6. Idrissa Gueye, September 26, 1989 ndio siku aliyozaliwa. Huyu anakipiga pale Everton England.
7. Krépin Diatta, Huyu ndio mfungaji wa goli la pili ambaye amejizolea umaarufu mkubwa nchini Tanzania kutokana na shuti kali alilopiga ikiwa ni mpira wa Rebound kufuatia mpira wa kona kuondolewa. Amezaliwa February 25, 1999 na anacheza ligi moja na Mbwana Samatta katika klabu ya ya Brugge FC.
8. Alfred N'Diaye, Mzaliwa wa March 6, 1990 jijini Paris Ufaransa. Anachezea klabu ya Malaga nchini Spain.
9. Mbaye Hamady Niang, mchezaji wa klabu ya December 19, 1994. Amezaliwa December 19, 1994. Stade Rennais ya Ufaransa.
10. Keita Baldé Diao, Mfungaji wa goli la kwanza. Amezaliwa March 8, 1995 na anakipiga katika klabu ya Inter Milan.
11. Ismaïla Sarr, amezaliwa miaka 21 iliyopita yaani February 25, 1998. Stade Rennais ya Ufaransa.