Jumamosi , 6th Mei , 2017

Mabingwa watetezi wa Ligi kuu ya Soka Tanzania Bara, Young Africans wanashuka dimbani leo kuvaana na Tanzania Prisons FC  katika uwanja wa Taifa Jijini Dar es salaam, michuano ya Ligi Kuu Tanzania Bara

Kikosi cha Yanga

Hata hivyo uongozi wa timu ya Yanga umeweka hadharani kikosi chake cha maangamizi dhidi ya Wajelajela ambacho ni:

1. Beno Kakolanya 
2. Hassan Kessy
3. Haji Mwinyi 
4. Kelvin Yondani 
5. Vicent Bossou 
6. Juma Said 
7. Saimoni Msuva 
8. Thabani Kamusoko 
9. Amisi Tambwe 
10. Obrey Chirwa 
11. Geofrey Mwashuiya 

Akiba
Deogratius Munishi, Juma Abdul, Vicent Andrew, Mateo Antony, Deusi Kaseke , Emmanuel Martin, Haruna Niyonzima.