Khatibu hapa, nawakilisha Tanga Rahaa waja leo waondoka mwakani..pamoja 2naangalia EATV 2gether 2nawakilisha.. Hallooooooooo..!!.
Precious Paschal
Naitwa Precious Paschal wa Dar, hi kwa baba angu mpendwa Paschal au ( Makuru James Nyamkenga) akiwa huko Dodoma chuo cha Mipango, na mama angu Prisca au (Pilly) na Juma Waziri niko nae Dar, enewz ndo mpango mzima, Halla.
Half & Nadar
Kigoma Mjimwema { Half & Nadar} halla 5 pasi ya mwisho.
Judith
Mimi Judith wa Mwanza Ghana, natoa holla zangu kwa wajomba zangu Ibrahimu, Mussa, Amani, Abdallah, na Venance nawapenda sana. chezea EATV wewe utalala bila kula haloooooo.