
Mkwasa amesema, wachezaji aliowaona ni walewale waliopo lakini amepata taarifa ya mchezaji Mtanzania anayechezea timu ya bandari ya Mombasa nchini Kenya ambaye anacheza katika nafasi ya Ulinzi na anamfuatilia na kama akimudu watamchukua.
Mkwasa amesema, bado wanahitaji wachezaji wanaoelewa wafanye kitu gani na kwa kipindi gamni hivyo wanaendelea kuboresha kikosi kwa kuangalia wachezaji ambao wataweza kumudu.