
Serena Williams
Mmarekani huyo mwenye umri wa miaka 35 alifungwa kwa jumla ya seti 4-6 7-6 (7-3) 4-6 na mchezaji anayeshika namba 72, Madison Brengle mjini Auckland.
Mbali ya Serena, pia siku ilikuwa mbaya familia ya Williams baada ya dada yake, Venus, naye kujiondoa kwenye mashindano hayo kutokana na majeraha.