Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

London Derby kuchezwa Darajani, Chelsea Vs Spurs

Ijumaa , 27th Nov , 2020

Moja kati ya michezo yenye ushindani wa kipekee ni London Derby, mchezo kati ya Chelsea na Tottenham haujawahi kuwa wa mzaha mzaha, kila timu huwa inatafuta matokeo kwa namna yeyote ile.

Chelsea dhidi ya Tottenham

Jumapili hii majira ya saa 1:30 usiku, dimba la Stamford Bridge litapambwa kwa jezi za blue na nyeupe pale ambapo Chelsea watakapomkaribisha kocha wao wa zamani – Jose Mourinho akiwa na vijana wake wa Tottenham Hotspurs.

Chelsea na Tottenham wameshakutana mara 167 katika historia ya soka. Chelsea ameibuka kidedea mara 72, wametoka sare mara 44 na Spurs ameshinda mara 55. Tukiutizama msimu huu mpaka sasa, timu zote zimeanza vizuri. Tottenham ni kinara wa EPL kwa sasa akiwa na pointi 20 baada ya michezo 9 na Chelsea anakamata nafasi ya 3 akiwa na pointi 18 baada ya michezo 9.

Msimamo wa EPL pekee, unaweza kutuonesha ni namna gani mchezo huu utakuwa ni ‘patashika- nguo kuchanika’ ndani ya dimba la Stamford Bridge Jumapili hii. Nani atakupatia faida wikiendi hii?. Ushindi kwa Chelsea umepewa odds ya 2.11, ushindi kwa Tottenham unaodds ya 3.38 wakati matokeo ya sare yamepewa odds ya 3.43.

Kama ilivyokawaida, mashindano yakiwa yanaendelea kwenye Premier League, duka la Meridian bet ni sehemu utakayoweza kufuatilia kila kinachoendelea.

Pamoja na mchezo huu, kunamichezo mingine kibao inayochezwa katika wiki ya 10 ya Ligi ya Uingereza - EPL, unaweza kujionea odds za michezo hiyo kwa kubofya hapa.

Jisajili na Meridiabet hapa http://www.meridianbet.co.tz na furaha yako itaanzia hapo. Pakua App ya Meridianbet kwenye simu yako na uanze kubashiri kwa uhuru nyumbani kwako. Pia, unaweza kuweka pesa kwenye akaunti yako kupitia KwikPay, M-PESA au Airtel Money. Kumbuka, daima hauwezi kupoteza tiketi yako ya kwanza ukiwa na Meridianbet, tuna Bonasi ya 100% inakusubiri.

Meridian - Nyumba yenye odds bora na bonasi kubwa!
 

HABARI ZAIDI

Katibu wa Chadema Kanda ya Kaskazini, Amani Golugwa

Maandamano yetu sio kelele za wahuni - Golugwa

Nyumba ambayo mwili wa mwanaume ulikaa hadi kuharibika

Mke aishi na maiti ya mumewe akiamini atafufuka

Ofisa wa idara ya manunuzi na mikataba akimpatia maelezo mmoja wa wananchi wawaliojitokeza kutembelea banda la GGML katika maonesho ya OSHA na kujifunza namna kuzingatia usalama katika shughuli zao za kila siku.

GGML yaja na teknolojia za kisasa za uokoaji

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan

Rais Samia asema CDF mwanamke atapatikana 2030

Mratibu wa idara ya dharura (ERT) kutoka GGML, Mohamed Mwaimu akimuonesha mama lishe namna ya kuzima moto wakati inatopokea mtungi wa gesi unapopata hitilafu na kulipuka. Mafunzo hayo yametolewana GGML kwa kushirikiana na OSHA kwa akina mama lishe 50 wa mkoani Arusha.

Mama lishe wafundishwa kulikabili janga la moto

Picha ya AY kulia na Mr II Sugu kushoto

AY Starring wa muziki wa BongoFlava