Jumatatu , 20th Oct , 2025

"Wakati wa mazungumzo, waliniambia watawaleta wachezaji wote ninaowataka ‘tutampata huyu, na huyu, na huyu.’ Lakini mimi nikahisi huu si aina ya mradi ninaoupenda."

 

"Sikutaka kumrudisha Paul Pogba. hilo halingefanya kazi. wala sikutaka kumrudisha Cristiano Ronaldo, nikaona haitasaidia."

"Mpango wao ulikuwa kuleta tu mastaa, si kuendeleza soka lenyewe. halafu nikapata nafasi ya mradi wa kweli wa soka ndani ya Liverpool FC."

 

Chanzo: DOAC