Ijumaa , 12th Mei , 2017

Klabu ya Simba SC leo kinashuka dimbani kuvaana na Stand United ya kutokea Mkoani Shinyanga katika muendelezo wa michuano ya Ligi Kuu Tanzania Bara katika uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam

Pamoja na hayo Uongozi wa Wekundu wa Msimbazi wamekiweka hadharani kikosi chako chote kitakachokuwa kinaingia dimbani kutafuta pointi 3 ambaccho ni:
1. Daniel Agyei
2.Besala Bukungu
3.Mohammed Shabalala 
4.James Kotei
5.Juuko Murshid 
6.Jonas Mkude
7.Shiza Kichuya
8.Mzamiru Yassin 
9.L Mavugo 
10.Juma Luizio
11.Mo ibrahim Sub
Akiba
1.Manyika Peter
2.Vincent Costa 
3.Novart Lufunga 
4.Abdi Banda
4.Mwinyi Kazimoto
5.Frederick Blagnon
6.Pastory Athanas