
Arsene Wenger - Koacha wa Zamani wa Arsenal
“Nilicheza dhidi ya Salah kipindi ambacho anatengeneza nafasi sita na anafunga goli moja, hivi sasa anatengeneza nafasi mbili na anafunga mabao mawili yaani ana uwiano mzuri katika ushambuliaji” Wenger
Salah mwenye umri wa miaka 32 msimu huu amecheza mechi 27 za EPL na amefunga mabao 25 na kutoa pasi za mwisho 16 akihusika katika mabao 41 kati ya 64 waliyofunga Majogoo