
Sasa, ili kufuzu kwenye YouTube Partner Program, lazima utengeneze content ya asili yenye sauti halisi. Video zenye sauti za AI na zisizo na ubunifu hazitapata tena pesa.
YouTube sasa inakataza:
- Sauti za AI (AI-generated voices)
- Content iliyorejewa au kurudiwarudiwa (reused/repetitive content)
- Video za automated au zisizo na uso (faceless/automated videos)
Video za aina hizi hazitapata tena pesa,YouTube inataka ubunifu na uhalisia zaidi.