Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

RC Kunenge atoa tamko kwa mama wa Tandale

Alhamisi , 12th Nov , 2020

Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam Abubakar Kunenge amesema atalifanyia kazi tukio la mama mmoja ambaye alisimulia kupotea kwa mtoto wake wa kiume kisha kumkuta kwenye choo akiwa amefariki.

Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam Abubakar Kunenge

Mama huyo alijitambulisha kwa jina la Mariam Aly mkazi wa Tandale kwa Mtoogole alitoa taarifa hiyo kupitia show ya DADAZ ya East Africa TV, ambapo amesema mwanaye anaitwa Fahad ana umri wa mwaka mmoja na miezi 10 na alipotea kwa mazingira ya kutatanisha.

Mariam Aly akaendelea kusema tukio hilo lilitokea siku ya Oktoba 26, ila baada ya kupita siku 3 walikuta mwili wa mtoto wake upo kwenye shimo la choo akiwa amefariki na alidai jirani yake ndiyo alimtupa mwanaye kwenye choo hicho.

Aidha ameongeza kusema kesi ikafika kituo cha polisi lakini kwa bahati mbaya hakupata ushirikiano kutoka kwa polisi hao ambao walimjibu afanye upepelezi mwenyewe kuhusu tukio la mtoto wake.

Taarifa hiyo imemfikia Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam Abubakar Kunenge, ambapo baada ya kuona  video fupi aliyo-post mtangazaji wa DADAZ Maye Kidoti kupitia ukurasa wa Instagram aka-comment kuwa "ahsante kwa taarifa, nalifanyia kazi".

HABARI ZAIDI

Katibu wa Chadema Kanda ya Kaskazini, Amani Golugwa

Maandamano yetu sio kelele za wahuni - Golugwa

Nyumba ambayo mwili wa mwanaume ulikaa hadi kuharibika

Mke aishi na maiti ya mumewe akiamini atafufuka

Ofisa wa idara ya manunuzi na mikataba akimpatia maelezo mmoja wa wananchi wawaliojitokeza kutembelea banda la GGML katika maonesho ya OSHA na kujifunza namna kuzingatia usalama katika shughuli zao za kila siku.

GGML yaja na teknolojia za kisasa za uokoaji

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan

Rais Samia asema CDF mwanamke atapatikana 2030

Mratibu wa idara ya dharura (ERT) kutoka GGML, Mohamed Mwaimu akimuonesha mama lishe namna ya kuzima moto wakati inatopokea mtungi wa gesi unapopata hitilafu na kulipuka. Mafunzo hayo yametolewana GGML kwa kushirikiana na OSHA kwa akina mama lishe 50 wa mkoani Arusha.

Mama lishe wafundishwa kulikabili janga la moto

Picha ya AY kulia na Mr II Sugu kushoto

AY Starring wa muziki wa BongoFlava