Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Mzee Yusuf asimulia walivyoanza kula wali

Ijumaa , 21st Aug , 2020

Mfalme wa muziki wa Taarab nchini Mzee Yusuf, amesema kuwa alipojiunga na Bendi ya East Africa Melody Taarab akiwa mpiga kinanda, ndiyo kipindi ambacho alianza kuwa na uhakika wa yeye na familia yake kula wali kwa kuwa alianza kulipwa 1500.

Mzee Yusuf

Kauli hiyo ameitoa hii leo Agosti 21, 2020, wakati wa mahojiano maalumu na kipindi cha DADAZ cha East Africa Television na kuongeza hata kielime yeye aliishia kidato cha pili.

"East Africa Melody mimi nimeanza kula kwa kulipwa 1,500, nimeenda pale nikiwa mpiga kinanda lakini nilikuwa nabeba zile Speaker za pale, kila siku tukipiga show 4 napata hela ya kununua Mchele kilo Tano napeleka nyumbani, uhakika wa kula wali ndiyo nilianza kuupata kipindi hicho", ameeleza Mzee Yusuf.

Aidha Mzee Yusuf akatoa neno kwa wale wanaodhani ana njaa, "Watu wanasema huyo ana njaa ndiyo maana amerudi kuimba, kiukweli njaa tunayo sote, kama kweli wanasema hakuna njaa na anayefanya kazi ndiyo ana njaa basi sawa wao waswali tu na walale, mimi naswali na nimejiongeza na napiga na muziki wangu, sijasoma mimi nimeishia Form 2 nikaacha hii ndiyo kazi yangu", ameongeza.
 

HABARI ZAIDI

Katibu wa Chadema Kanda ya Kaskazini, Amani Golugwa

Maandamano yetu sio kelele za wahuni - Golugwa

Nyumba ambayo mwili wa mwanaume ulikaa hadi kuharibika

Mke aishi na maiti ya mumewe akiamini atafufuka

Ofisa wa idara ya manunuzi na mikataba akimpatia maelezo mmoja wa wananchi wawaliojitokeza kutembelea banda la GGML katika maonesho ya OSHA na kujifunza namna kuzingatia usalama katika shughuli zao za kila siku.

GGML yaja na teknolojia za kisasa za uokoaji

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan

Rais Samia asema CDF mwanamke atapatikana 2030

Mratibu wa idara ya dharura (ERT) kutoka GGML, Mohamed Mwaimu akimuonesha mama lishe namna ya kuzima moto wakati inatopokea mtungi wa gesi unapopata hitilafu na kulipuka. Mafunzo hayo yametolewana GGML kwa kushirikiana na OSHA kwa akina mama lishe 50 wa mkoani Arusha.

Mama lishe wafundishwa kulikabili janga la moto

Picha ya AY kulia na Mr II Sugu kushoto

AY Starring wa muziki wa BongoFlava