
...ambayo inatafsiriwa kuwa, pato lake kwa lisaa limoja ni sawa na dola milioni 7.99 ambayo ni zaidi ya Bilioni 19 kwa pesa ya Tanzania.
Kufikia hapo Jeff anaweza kuchangia kiasi cha dola bilioni 18.4 kwenye bajeti ya taifa na bado akabakiwa na dola bilioni 98.6. Ongezeko la utajiri wake unatajwa kuchangiwa na hisa anazomiliki kwenye kampuni ya Amazon.
Picha: alltech.news