Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Aliyetelekezwa na mume kisa mtoto asaidiwa

Jumatatu , 1st Feb , 2021

Siku chache zilizopita baada ya baadhi ya vyombo vya habari  kufanya kipindi na Zuhura Shabani (32) ambaye ni mama mwenye mtoto mmoja aliyetelekezwa na mume wake kwa kile kilichodaiwa kuwa ni ulemavu wa mtoto wake hatimaye apewa msaada na MERIDIAN BET.

Zuhura Shabani akikabidhiwa msaada kutoka Meridianbet

Akizungumza wakati akikabidhi msaada huo Mkuu wa Utawala wa kampuni ya michezo ya kubashiri MERIDIAN BET Cornelius Boenman amesema kampuni yao imekuwa ikishiriki katika jamii kwa lengo la kuwasaidia wenye uhitaji.

Naye Meneja ustawi wa MERIDIAN BET Amani Maeda amesema wao kama kampuni wameguswa na matatizo aliyonayo Zuhura Shabani hivyo wakaamua kumsaidia mtaji wa biashara.

Kwa upande wake Zuhura ameishukuru Kampuni ya Meridian Bet kwa msaada huo ambapo amesema utasaidia kumuwezesha kufungua saluni ya kike ambayo iasaidia kumlea yeye pamoja na mtoto wake.

"Naishukuru sana Kampuni ya Meridian Bet kwa moyo mlioonesha wa kunisaidia kiasi hiki cha pesa, naahidi pesa hii mliyonipatia nitaitendea haki, nitafungua Saluni kama nilivyosema najua saluni itanisaidia kuendesha maisha yangu na mwanangu na kunipunguzia kutembea mtaani na kuomba omba msaada, Mungu awabariki muendelee na moyo huo huo", alisema Mama huyo.

Zuhura Shaban amebahatika kupata mtoto wa kiume anayeitwa Eklam ambaye alizaliwa na matatizo ya utindio wa ubongo na kusababisha kushindwa kukaa, kusimama wala kufanya chochote jambo lililofanya mume wake kumtelekeza yeye na mtoto.

HABARI ZAIDI

Katibu wa Chadema Kanda ya Kaskazini, Amani Golugwa

Maandamano yetu sio kelele za wahuni - Golugwa

Nyumba ambayo mwili wa mwanaume ulikaa hadi kuharibika

Mke aishi na maiti ya mumewe akiamini atafufuka

Ofisa wa idara ya manunuzi na mikataba akimpatia maelezo mmoja wa wananchi wawaliojitokeza kutembelea banda la GGML katika maonesho ya OSHA na kujifunza namna kuzingatia usalama katika shughuli zao za kila siku.

GGML yaja na teknolojia za kisasa za uokoaji

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan

Rais Samia asema CDF mwanamke atapatikana 2030

Mratibu wa idara ya dharura (ERT) kutoka GGML, Mohamed Mwaimu akimuonesha mama lishe namna ya kuzima moto wakati inatopokea mtungi wa gesi unapopata hitilafu na kulipuka. Mafunzo hayo yametolewana GGML kwa kushirikiana na OSHA kwa akina mama lishe 50 wa mkoani Arusha.

Mama lishe wafundishwa kulikabili janga la moto

Picha ya AY kulia na Mr II Sugu kushoto

AY Starring wa muziki wa BongoFlava