Young Killer avimbiana na Young D

Sunday , 8th Oct , 2017

Rapa Young Killer Msodoki amefunguka na kusema yeye bado ana bifu na Young D licha ya Young D kusema hana bifu na Msodoki lakini wakali hao waliendelea kuvimbiana mwisho wa siku Young D alisema haitaji kushindanishwa na wasanii hao.

Wakali hao ambao walikutanishwa kwenye kipindi cha Friday Night Live (FNL) walirushiana maneno mabovu kwa kila mtu kujiona ni bora kuliko mwingine na mwisho wa siku muafaka kushindwa kupatikana kati yao. 

Watazame hapa wakijibizana na kupeana maneno ya shombo.