Jumapili , 21st Apr , 2024

Mwanamuziki Ruger anasema aligopa kukutana na staa wa muziki ndani na nje ya Africa #BurnaBoy kwa mara ya kwanza sababu hakutarajia.

Picha ya Ruger na Burna Boy

"Mara ya kwanza nilipokutana na Burna Boy kwanza niliogopa. Sikujua nini cha kutarajia". amesema Ruger

Pia amewazungumzia Big Three ya Africa #BurnaBoy #Davido na #Wizkid kuhusu uwezo wao wa kimuziki akisema

"Kabla Burna Boy hajaanza kuperforme na Live wasanii wengi wa Africa walipenda kwenda na DJ wao. Davido ni kiongozi watu wengi wanafuata nyayo zake hata kwa Wizkid pia ni kiongozi hivyo chagua unayetaka kumfuata".

Ruger alishawahi kuja Tanzania kufanya show ya Lock In 255 na East Africa TV na East Africa Radio mwezi Oktoba 2022.