Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

"Watu wa Instagram ni Stress tu" - Gigy Money

Jumamosi , 24th Oct , 2020

Msanii Gigy Money amefunguka kuwa kuna watu wa aina tatu watu wanaotumia mtandao wa Instagram na wote wanaotumia mtandao huo ni stress tu.

Msanii Gigy Money

Gigy Money amendika kuwa sifa ya kwanza ya watu wanaotumia Instagram ni wale watakao like picha au video yako kwa 'account zao' ila comments zao zitakufanya u-log out, kisha anakulia marage na ubwabwa na anasema akimaliza hapa anaenda kwenye page ya Gigy namchefua.

Kwenye sifa ya pili Gigy Money ameeleza kuwa "Kuna wale 'too class' ushuzi wanajifanya hawataki watu waone like zao kama ni chakula au likes zao zitaongeza 'filter' kwa hiyo wana kurasa feki 'fake page' zao wanajifanya za biashara"

Aidha akimalizia sifa ya tatu ameandika kuwa "Halafu kuna hawa ambao kama hawapo wao nikutumiana 'DM'  naku-save matukio, sasa huko DM mnatunyambua kama nyinyi mnaweza kuvumilia, pia hawa wakutumiana DM ni wambea sana

Baada ya kutaja sifa hizo za aina ya watu wa Instagram Gigy Money akamaliza kusema watu wa Instagram ni 'stress' tu.

HABARI ZAIDI

Katibu wa Chadema Kanda ya Kaskazini, Amani Golugwa

Maandamano yetu sio kelele za wahuni - Golugwa

Nyumba ambayo mwili wa mwanaume ulikaa hadi kuharibika

Mke aishi na maiti ya mumewe akiamini atafufuka

Ofisa wa idara ya manunuzi na mikataba akimpatia maelezo mmoja wa wananchi wawaliojitokeza kutembelea banda la GGML katika maonesho ya OSHA na kujifunza namna kuzingatia usalama katika shughuli zao za kila siku.

GGML yaja na teknolojia za kisasa za uokoaji

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan

Rais Samia asema CDF mwanamke atapatikana 2030

Mratibu wa idara ya dharura (ERT) kutoka GGML, Mohamed Mwaimu akimuonesha mama lishe namna ya kuzima moto wakati inatopokea mtungi wa gesi unapopata hitilafu na kulipuka. Mafunzo hayo yametolewana GGML kwa kushirikiana na OSHA kwa akina mama lishe 50 wa mkoani Arusha.

Mama lishe wafundishwa kulikabili janga la moto

Picha ya AY kulia na Mr II Sugu kushoto

AY Starring wa muziki wa BongoFlava