Jumanne , 7th Oct , 2014

Ikiwa leo ni siku ya kusherekea kuzaliwa kwa Rais wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Kikwete, Wasanii kwa niaba ya sekta ya Burudani wamezungumzia mchango wa kiongozi huyo kwa upande wao.

Rais Kikwete akiwa na wasanii Prof Jay na Mzee Yusuph

Kwa niaba ya wasanii Wengine, msanii wa muziki Linex pamoja na Rose Ndauka kwa nafasi zao, hiki ndicho walichofunguka juu ya mchango wa Rais Kikwete katika sanaa hususan Muziki na Filamu Tanzania.