Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Wakazi aibuka tena na Gigy Money

Alhamisi , 15th Apr , 2021

Msanii wa HipHop Wakazi ameendeleza kampeni ya 'Free Gigy Money' ambayo inahusu kufunguliwa kwa msanii Gigy Money ambaye amefungiwa kutojihusisha na masuala ya sanaa kwa kipindi cha miezi 6 kutoka Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA).

Kushoto ni msanii Wakazi, kulia ni Gigy Money

Wakazi ameeleza kuwa Gigy Money ni mama wa mtoto pia anategemewa na familia yake, pia kuna wasanii wengine wanafanya mambo kinyume na maadili wanaachwa huru ila wanawaangushia jumba bovu wengine ambao hawana hatia.

"Kuna wasanii tena wakubwa wanafanya mambo ya ajabu, kinyume na maadili tuliyoyazoea, wanaachwa huru halafu Gigy Money ambaye alitumia ubunifu wa mavazi akashutumiwa yupo kinyume na maadili na kufungiwa miezi 6, Gigy Money ni mama anayetegemewa na mtoto na family yake it's not fair

"Mhe Rais Samia Suluhu Hassan amefungulia vyombo vya habari, nadhani watendaji wake nao wawafungulie wasanii waliokatazwa kufanya sanaa kimakosa kama Gigy, halafu tukae vikao vya kufanya maboresho ya kanuni, sheria, sera na mengineyo ili sanaa iende na wakati, ikue kiubunifu  na iwanufaishe wote wanaoifanya ili nao waweze kusaidia familia zao, na pia kulijenga Taifa" ameeleza msanii Wakazi

HABARI ZAIDI

Katibu wa Chadema Kanda ya Kaskazini, Amani Golugwa

Maandamano yetu sio kelele za wahuni - Golugwa

Nyumba ambayo mwili wa mwanaume ulikaa hadi kuharibika

Mke aishi na maiti ya mumewe akiamini atafufuka

Ofisa wa idara ya manunuzi na mikataba akimpatia maelezo mmoja wa wananchi wawaliojitokeza kutembelea banda la GGML katika maonesho ya OSHA na kujifunza namna kuzingatia usalama katika shughuli zao za kila siku.

GGML yaja na teknolojia za kisasa za uokoaji

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan

Rais Samia asema CDF mwanamke atapatikana 2030

Mratibu wa idara ya dharura (ERT) kutoka GGML, Mohamed Mwaimu akimuonesha mama lishe namna ya kuzima moto wakati inatopokea mtungi wa gesi unapopata hitilafu na kulipuka. Mafunzo hayo yametolewana GGML kwa kushirikiana na OSHA kwa akina mama lishe 50 wa mkoani Arusha.

Mama lishe wafundishwa kulikabili janga la moto

Picha ya AY kulia na Mr II Sugu kushoto

AY Starring wa muziki wa BongoFlava