wanakuwa wakiyaongea yakiwa na lengo ya kuleta chokochoko au kutaka kuwagombanisha watu na kufikia hatua ya kumshauri Rais Magufuli kama inawezekana watu walipie maneno yao.
Isha Mashauzi aliyasema hayo kupitia kipindi cha eNewz na kusema kama watu wangekuwa wanalipia maneno wanayosema wasingeweza kupoteza muda wa kuongea vitu visivyo vya msingi na vyenye lengo la chokochoko.
Mtazame zaidi hapa Isha ambapo alikuwa akitoa ufafanuzi kuhusu uhusiano wake na Khadija Kopa




