Picha ya Cappuccino Tunda
Kupitia Insta Story yake Cappuccino Tunda ameandika kwamba "Nilisema mwaka huu nisipoolewa najiua, kuna marekebisho ya kiufundi yamejitokeza nasogeza hadi mwakani mweiz kama huu".
"Kuna vitu vimeni-inspire kwenye maisha ya u-single nimeona niendelee kubaki single"
Ikumbukwe Tunda tayari ameshavalishwa pete ya uchumba na Whozu na wamebahatika kupata mtoto mmoja wa kike.