Ijumaa , 6th Aug , 2021

Unaambiwa mwanamke kujiamini ndiyo ishakuwa 'Freestyle' msanii wa filamu Love Juakali licha ya baadhi ya watu kum-judge mitandaoni kuhusu mwili wake anasema shepu yake namba 9 inamtosha na haoni haja ya kupungua.

Picha ya Love Jua kali

Akipiga stori na eNewz ya East Africa TV Love Juakali anasema.

"Kigodoro cha nini shepu yangu namba 9 inanitosha ukiniambia nianze kuvaa kigodoro inaua brand na brand yangu inataka kuwa hivi haijataka nianze kuchonga sura au niwe mwembamba"

Pia ameongeza kusema "Mimi naamini kuwa natural, ujiamini na kuwa wewe, Watanzania wameumbiwa kuongea hawaridhikagi hata ukiwa na figure".