Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Sababu za Nikki kuokoka zatajwa

Alhamisi , 28th Sep , 2017

Rappa Nikki wa Pili kutoka kundi la Weusi amekiri  kuwa aliamua kuokoka na kumpokea yesu baada ya kufanikiwa kurudi shuleni  tena ikiwa ni baada kukaa mtaani akisubiri  matokeo ya awamu ya pili (Second Selection) ya ufaulu.

Rappa Nikki wa Pili

Nikki amesema tukio la kuamua kumpokea Yesu (Kuokoka) kulimfanya kuimarisha mahusiano yake na Mungu kutokana na maajabu aliyotendewa kwani hakuwa na pesa za kumuwezesha kwenda kusoma shule binafsi.

"Nilivyokuwaga kidato cha tatu nilisimama mbele ya watu na kuokoka yaani kumpokea Yesu na kumrudia Mungu.......offcoz nilifanya hivyo kwakuwa alinitendea maajabu ya kunitoa kitaa kupitia matokeo mnaita 'second selection' nilikuwa sina issue kitaa wala sikuwa na fedha kwenda private schoool" ameandika Nikki kwenye ukurasa wake wa Instagram.

Rappa Nikki wa Pili kwa sasa anafahamika zaidi kama msanii msomi ambaye kwa sasa anadaiwa kuwa yupo shule kwa ajili ya ngazi ya Uzamifu (PhD)

Nikki kwa sasa ana ngoma mpya inayokwenda kwa jina la Kihasara ambapo anadai Sehemu kubwa ya wimbo huo inazungumzia maisha yake halisi aliyowahi kupitia.

Itazame hapa video mpya ya Nikki wa Pili inayoitwa Kihasara

HABARI ZAIDI

Katibu wa Chadema Kanda ya Kaskazini, Amani Golugwa

Maandamano yetu sio kelele za wahuni - Golugwa

Nyumba ambayo mwili wa mwanaume ulikaa hadi kuharibika

Mke aishi na maiti ya mumewe akiamini atafufuka

Ofisa wa idara ya manunuzi na mikataba akimpatia maelezo mmoja wa wananchi wawaliojitokeza kutembelea banda la GGML katika maonesho ya OSHA na kujifunza namna kuzingatia usalama katika shughuli zao za kila siku.

GGML yaja na teknolojia za kisasa za uokoaji

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan

Rais Samia asema CDF mwanamke atapatikana 2030

Mratibu wa idara ya dharura (ERT) kutoka GGML, Mohamed Mwaimu akimuonesha mama lishe namna ya kuzima moto wakati inatopokea mtungi wa gesi unapopata hitilafu na kulipuka. Mafunzo hayo yametolewana GGML kwa kushirikiana na OSHA kwa akina mama lishe 50 wa mkoani Arusha.

Mama lishe wafundishwa kulikabili janga la moto

Picha ya AY kulia na Mr II Sugu kushoto

AY Starring wa muziki wa BongoFlava