Jumamosi , 11th Jun , 2022

Meneja Petitman Wakuache amesema hawezi kumkataa wala kugombania mtoto wake Taraj Wakuache kwa mzazi mwenziye Esma Platnumz mpaka atakapokua na kujua ukweli wa kilichotokea.

Picha ya Petitman Wakuache

"Siwezi kugombania mtoto wakati ni damu yangu mwenyewe, atakua na atajua nani alikuwa na shida mimi au mama yake, yule ni mtoto wangu siwezi kumkataa nampenda" amesema Petitman Wakuache

Zaidi tazama hapa kwenye video.