Picha ya Nabii Mkuu GeorDavie na marehemu Nisher
Nabii Mkuu GeorDavie amesema hilo katika ibada ya mwisho ya kumuaga Director Nisher kabla ya mazishi yanayofanyika Kisongo Arusha.
Zaidi tazama hapo kwenye video.
Baba Mzazi wa aliyekuwa Director wa video za muziki Nisher Nabii Mkuu GeorDavie amesema mtoto wake amemuachia deni la kusaidia vijana na ameahidi atalitimiza hilo.