Jumanne , 13th Feb , 2024

Kupitia page ya Instagram na X anayotumia msanii Madee ameibuka kutoa mtazamo wake kuhusu hukumu wanayoipata wezi wanapokamatwa na wananchi.

Picha ya Madee

“Sijawahi kumpiga mwizi na sitakuja kumpiga mwizi. Enhee unampiga huyo mwizi then mnamchoma moto.. baada ya hapo unakua umefaidika na nini”

“Wote wanaompiga mwizi nakufikia hatua yakumvalisha tairi nakumchoma moto niwashamba tu” ameandika Madee