Ney wa Mitego akiwa ndani ya Studio za EA Radio
Akizungumza na East Africa Television, Ney wa Mitego amesema kwa mwaka huu wimbo wa shika adabu yako ulikuwa ni wimbo ulioongea ukweli mtupu, ikiwemo kuyeyuka kwa mimba ya Wema Sepetu, Gari la Shetta na mengineyo ambayo yalikuwa gumzo kwenye mitandao ya watanzania.
Mtazame hapa akizungumzia kuyeyuka kwa mimba ya Wema Sepetu na mahusiano yake na mlimbwende huyo ambaye ni kipenzi cha watu wengi hapa Bongo.