Alhamisi , 28th Mar , 2024

Rapa Ja Rule amefunguka msimamo wake wa kutaka kurudisha furaha ya HipHop iliyopotea kwa sababu anaamini kuna mabaya yanazungumzwa kuhusu muziki huo kwa sasa.

Picha ya Ja Rule

Ja Rule anasema “Nataka kurudisha furaha kwenye Hip Hop kuna mabaya mengi. Fanya HipHop ifurahishe tena”.