
Msanii Mr Blue (kushoto) na G Nako (kulia)
Tazama list hapo chini ya baadhi ya nyimbo ambazo wasanii hawa wameshirikishwa kwa mwaka 2020 na kwenye mabano ni jina la msanii anayemiliki wimbo;
G Nako amesikika kwenye;
1.Alfa na Omega (Gasto Gration)
2.Gusanisha (Maua Sama)
3.Muonjeshe (Rj The Dj)
4.Viuno (Shilole)
5.Mpango (Ibra Da Hustler)
6.Iyo Iyo (Matonya).
7.Finally (Emergency )
8.Mateka (Yj)
Mr Blue amesikika kwenye;
1.Raha (Zee)
2.Uswazi (Bando)
3. Mama la Mama (Rayvanny)
4.Watani wa Jadi (Rostam)
5.Inanimaliza (Harminize)
6. Nafuu Wewe (Tommy Thommass)
7.Kimoko (Candle)