Alhamisi , 1st Dec , 2022

Msanii wa BongoFleva Becka Title amesema wapo wakali wengi wanaofanya Chorus ndani nyimbo lakini yeye ndio mfalme wao kwenye mziki wa Bongo kwa sababu anapiga chorus kali.

Picha ya msanii Becka Title

Becka amesema yeye ndio alikuwa analibeba kundi la B.O.B Micharazo kutokana na Chorus zake kali ambazo zilikuwa zinahit sana.