Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Meneja wa Hamisa Mobetto amtamani Alikiba

Jumanne , 15th Sep , 2020

Meneja wa msanii Hamisa Mobetto, Max Rioba amefunguka kuwa anatamani na atafurahi sana kufanya kazi na msanii Alikiba ili awe meneja wake, pia ana imani watatengeneza pesa, kufanya makubwa na kuboresha muziki.

Msanii Alikiba upande wa kushoto, kulia ni Meneja wa wasanii Max Rioba

Akipiga stori na eNewz ya East Africa TV, Max Rioba ameeleza kuwa sababu za kutamani kufanya kazi na Alikiba ni aina ya uimbaji wake ambapo anaamini itakuwa nzuri kibiashara kwa upande wao.

"Sasa hivi ukiniambia niwe meneja wa Alikiba nitafurahi sana kwa sababu najua yupo sehemu ambayo tutatengeneza mawazo ambayo yatajenga, kuleta pesa na kuuboresha huu muziki, natamani sana kufanya naye kazi kwa sababu jamaa ni muimbaji sana na anaweza, njia zake anazoenda yeye anaona kama zinafaa lakini naamini kuna haja ya ladha fulani hivi ambapo kwake hakipo" - amesema Max Rioba 

Aidha Max Rioba amesema muziki wa sasa unaboa kwani wote wanaimba style moja ndiyo maana haudumu, pia meneja huyo liwahi kufanya kazi na msanii Young Dee miaka ya nyuma.

Zaidi mtazame hapo chini akijimwambafai.

HABARI ZAIDI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan

Rais Samia asema CDF mwanamke atapatikana 2030

Mratibu wa idara ya dharura (ERT) kutoka GGML, Mohamed Mwaimu akimuonesha mama lishe namna ya kuzima moto wakati inatopokea mtungi wa gesi unapopata hitilafu na kulipuka. Mafunzo hayo yametolewana GGML kwa kushirikiana na OSHA kwa akina mama lishe 50 wa mkoani Arusha.

Mama lishe wafundishwa kulikabili janga la moto

Picha ya AY kulia na Mr II Sugu kushoto

AY Starring wa muziki wa BongoFlava

Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Patrobas Katambi

Wasimamizi wa uchaguzi waongezwe posho - Katambi