Msanii wa muziki wa bongofleva Mzungu Kichaa
Kichaa anayeufunga mwaka vizuri na kazi yake mpya inayoitwa 'Relax your Mind' amesema imepita muda mrefu tokea waachie kazi ya pamoja inayoitwa 'Jitolee', akijipanga kuungana na mkongwe huyo katika kazi zake mpya huku akimpongeza kwa uteuzi wake huo huko Mikumi.
Aidha mzungu kichaa alikubali kufanya uzembe kwa kutoutangaza zaidi muziki wake nchini bali alielekeza nguvu nyingi kuutangaza muziki huo nje ya nchi.