Jumamosi , 12th Oct , 2024

Mtoto wa kwanza wa Kanye West (YE) na Kim Kardashian North West ametaja list ya wasanii wake pendwa na katika list hiyo hayupo baba yake KanyeWest.

Picha ya Kanye West na mtoto wake North

North West ametaja list ya wasanii anaowapenda kama Tylor The Creator, Yuno Miles na Nicki Minaj baada ya kuulizwa na mama yake ni kuhusu wasanii wake pendwa.