Jumatatu , 17th Nov , 2014

Kundi kongwe la miondoko ya Hip Hop la nchini Kenya Kalamashaka hivi sasa limeibuka na kasi ya kufunga mwaka 2014 kwa kutoa kichupa chao kipya kolichobatizwa jina 'Moi Avenue'.

wasanii wa kundi la kalamashaka la nchini Kenya

Kundi hilo ambalo liliwahi tamba na kibao chao “Tafsiri Hii” wamefyatua kichupa hiki kipya ambacho ni zawadi kwa mashabiki wa kundi hili kongwe katika gemu ya muziki wa Hip Hop.