Jumamosi , 1st Nov , 2014

Katika wakati huu ambao joto la ujio wa Bonge moja la Show ya Televisheni ya Uhalisia ya Madame Wema Sepetu, In My Shoes Msimu wa pili linazidi kupanda, staa huyu mwenye mvuto amewaahidi mashabiki wake Uhalisi usiokuwa na maigizo katika ujio huu mpya

Naseeb 'Diamond Platnumz' na Wema Sepetu

Kutokana na taarifa za ujio mpya wa kipindi hiki, Mjadala mkubwa umezuka mitandaoni na sehemu mbalimbali katika kona za mitaa ya jiji, kila mtu akitaka kuona upya ubora na ladha ambazo zimeongezeka katika show.

Usikose kutazama show hii kali, In My Shoes Msimu wa Pili, (Hapa Le Madame) hapa Diamond Platumuz na timu nzima, Ijumaa kuanzia saa 3 na nusu Usiku.