
Miss Kenya 2014 Idah Nguma
Idah amesema kuwa, mpango huu umemjia kutokana na yeye binafsi kumpoteza rafiki yake wa karibu kwa ugonjwa huu hatari wa saratani.
Idah ambaye ni Msomi wa masuala ya Masoko kutoka katika Chuo Kikuu cha Kenyatta, kwa sasa pia anajiandaa kwa ajili ya kuiwakilisha nchi yake katika mashindano ya urembo ya Miss World mwezi Desemba mwaka huu.
