Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Haya mapya ya Lady Jaydee

Jumatatu , 11th Sep , 2017

Msanii wa kike kwenye game ya bongo fleva mwenye majina lukuki ikiwemo Komando, dada wa bongo fleva, Anaconda lakini lake rasmi la kisanii ni Lady Jay Dee, anatarajia kuachia wimbo wake mpya hapo kesho.

Lady Jaydee

Kwa muda msanii huyo amekuwa akiweka post za kuhesabu siku ili kutuambia kile ambacho amekikusudia kwenye ukurasa wake wa Instagram, na leo ameamua kutuonjesha yale aliyokuwa akituwekea nyuma ya ukuta wa post hizo, kwa kupost picha ya kutambulisha kazi yake hiyo mpya.

Kwenye post hiyo inaonyesha huo wimbo umetengenezwa na Man Water, ambaye amekuwa akitengeneza kazi zake nyingi ikiwemo ile ya karibuni 'Ndindindi'.

Wimbo huo utakuwa zaidi ya wa 6 tangu msanii Lady Jay Dee arudi kweye game baada ya kimya kirefu, akianzia na Ndindindi, sawa na wao, together remix akiwa na mchumba wake msanii wa Nigeria Spice na Rozela aliyoshirikiana na H-Art the Band ya nchini Kenya.

HABARI ZAIDI

Katibu wa Chadema Kanda ya Kaskazini, Amani Golugwa

Maandamano yetu sio kelele za wahuni - Golugwa

Nyumba ambayo mwili wa mwanaume ulikaa hadi kuharibika

Mke aishi na maiti ya mumewe akiamini atafufuka

Ofisa wa idara ya manunuzi na mikataba akimpatia maelezo mmoja wa wananchi wawaliojitokeza kutembelea banda la GGML katika maonesho ya OSHA na kujifunza namna kuzingatia usalama katika shughuli zao za kila siku.

GGML yaja na teknolojia za kisasa za uokoaji

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan

Rais Samia asema CDF mwanamke atapatikana 2030

Mratibu wa idara ya dharura (ERT) kutoka GGML, Mohamed Mwaimu akimuonesha mama lishe namna ya kuzima moto wakati inatopokea mtungi wa gesi unapopata hitilafu na kulipuka. Mafunzo hayo yametolewana GGML kwa kushirikiana na OSHA kwa akina mama lishe 50 wa mkoani Arusha.

Mama lishe wafundishwa kulikabili janga la moto

Picha ya AY kulia na Mr II Sugu kushoto

AY Starring wa muziki wa BongoFlava