Jumanne , 14th Jun , 2022

Ni Headlines za msanii Harmorapa ambaye amefunguka kupewa gari mpya aina la Lexus yenye thamani ya Tsh Milioni 300 na tajiri yake siku za hivi karibuni. 

Picha ya Harmorapa akiwa na gari hilo alilopewa

Zaidi mtazame hapa kwenye video Harmorapa akitamba baada ya kupewa ndinga hiyo kwa kusema tukutane sheli.